Resumen del episodio
leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport.
leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport.
Episodios
mambo jambo mwanzo mpya
Escuchadoleo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport.
Upendo
EscuchadoUpendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe.
Michezo
EscuchadoMpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.
Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijua
EscuchadoKuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao
Namna ya kukuza/ongeza thamani yako
EscuchadoNi namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako